Thursday 2 May 2013

CHUI WA TANZANIA

CHUI WA TANZANIA
Chui ni jamii ya paka lakini tunaposema paka basi tunamaanisha paka mwanye umbile kubwa kwa kiwili wili mwenye sura yenye mvuto na mwenye sura ya bashasha lakini unapo kutana nae hutazani yakuwa ni mnya hatari na mwenye kuweza kuya sitisha maisha yako mara moja hii inamaana ya mnyama huyu ajulikanae kwa jina la Chui lakini wapo wanyama wengi wenye kufanana na chui wetu huyu.....kuna Puma, Chita, Duma, nk

kama anavyo onekana pichani chui hula chakula cha mawindo kama vile swala digi digi nk yeye ni mzoefu wa kupanda mitini kwa kutumia kucha zake zilizo kuwa kali na zilizo chongoka na zenye makali hali ambayo itamuwezesha kupanda katika mti kiurahisi

Ngezi yake mata auwawapo hutunika kunakishiwa katika mifuko ya kina mama na niyenye dhamani kubwa pia hutengenezewa kukahda ya kuvalia suruali

Mano yake Kucha zake kutengenezwa kama ulembo unapo valiwa au katika ustadi mwingine lakini hutumika kwa shughuli za ulembo amahakika nyama huyu ni wa dhamani kubwa...

1 comment: