Monday 13 May 2013

KILIMO CHA NDIZI KAKUNYU

ZAO LA NDIZI

Zao la mdizi latajirisha wengi Kakunyu, takribani asilimia 90% ya biashara inayo waletea kipato wananchi wa Kakunyu hutokana na zao hili la ndizi kwani hukusanywa kwa wingi na kusafirishwa kwa walaji katika maeneo ya maziwa makuu kwamfano Tanzania yenyewe maeneo ya mwanza, Tabora, Kigoma nk. hata wakati mwingie huvuka nchi na kwenda nchi jirani kwa mfano Kenya, Uganda, Rwanda Burundi, Sudani, DR.congo. Sudani, hii ina sababisha mzinguko wa fedha kuwa mkubwa kiujumla hapa ukusamyaji wa ndizi ukiendelea na zaolemyewe kuendelea kupata soko katika maeneo ya huku kwetu sasa wananchi wana tumia vipi kipato hiki cha juu na nineema katika eneo hili la Kakunyu.......wananchi wameanza kujenga majumba ya kifahari ambayo yamekuwa yakiibuka siku hadi siku.....ununuzi ywa vyombo vya usafiri kwa mfano Magari, Pikipiki nk. tunawapongeza sana wakulima wa ndizi Kakunyu

No comments:

Post a Comment