Wednesday 22 May 2013

zao la ndizi KAGERA

Ndizi....aina ya kimbuzi


Wakaazi wa Bugango washushiwa neema kutoka kwa mungu baada ya zao la ndizi kupamba maeneo mengi ya mkoa hii wa kagera hususani katika maeneo ya Bugango ndizi zao kuu la mkoa huu ya Kagera limekuwa likipamba maeneo yote ya katika kata hii ya Kakunyu bei ya ndizi kupungua hadi kufikia Shs 5,000/= kwa mkungu wa kilo 30.kl tofauti na wakati wa uadimu wa chakula hiki kinachopendwa na wenyeji wa huku kwani hijulikana kwa jina la MATOKE......vujana wengi katika kipindi hiki huji patia ajira ya kujiajiri wao wenyewe kwa ukataji wa ndizi na kupakia kwenye maloli hali hii inapelekea zaohili kupata umaarufu katika biashara hii hatahivyo aina nyingine za bidhaa hii imekuwa nyingi kwa mfano ywa aina ndizi ya aina ya Njoge, Gonja, Ndizi mshale, nk. wananchi wa Bugango wamefirahishwa sana na kuwepo kwa ongezeko kubwa la zao hili....

No comments:

Post a Comment