Monday 13 May 2013

MAJERUHI WA KUANGUKIWA NA MTI

mvua yajeruhi..(8)

 Siku kadha zime pita baada ya mvua kubwa kunyesha na kuleta madhara makubwa katika kijiji cha Bwenkoma kitongoji Kachwampali kijiji Bugango ....zaidi ya wati 8 waliangukiwa na mti mpubwa ulio tanguliwa na kishindo cha sauti ya Ngoma baadae kukasikika kishindo kikubwa musili ya bomu lililo shitua wengi walio kandokando ya eneo hilo.....OCS....wa Bugango alitoa kauri na kusema tukio hili linastajabisha sana kwani kishindo hiki kimeashilia sauti ya Ngoma ya kienyeji akaendelea kusema huenda kunamkono wa mtu hapa watu waliokuwepo katika tukio hilo wakaangua kicheko nilimuulizia niwatu wangapi wamejeruhiwa pale ...alisema ninaharaka ninakwenda kwenye tukio la mauaji lililotokea hapa kijijini....aliendelea na kusema nenda pale Hospitali ya Bugango utapata taarifa sahihi aliendelea


kijiji kachwampali...(.8) wajeruhiwa
mti ulioanguka na kugubukwa na simanzi kubwa hapa kitongojini na kuaswa tutoka karibu na miti mikubwa kwani huenda kuweza kileta madhara pia wanakitokhoji waache dhana ya kuweka mbele masuala ya ushirikina kwani ushiriki hurudihsa maendekeo kwenda mbele ....

No comments:

Post a Comment