Monday 13 May 2013

MKUU WA MKOA WA KAGERA AKONGA MYOYO YA WANA KAKUNYU

MAFUNZO YA PIKIPIKI YA MALIZIKA
Mafunzo ya wapanda pikipiki yaliyo kuwa yakiemneshwa na mkufunzi kutoka Lake vew kagera yamekwisha fungwa na mkuu wa mkoa huo kanali mstahafu Masawe katika hafra hiyo iliyo kubikwa na hoi hoi na nderemo zili jiri kwakuwa yalifanikiwa sana na kujumuisha watu wengi na mitikio mkubwa wa wakufunzi wake

pambio kubwa iliambatana na CD aliyokuja na yo mkuu huyo wa wilaya ambae ali tushawishi katika kauli yake na wito wake wa AMANI NA MAENDELEO wama kakunyu walishangilia sana kwa kuwa tembelea  na kuwakabidhi vyeti vya kuhitimu mafunzo hayo amesisitiza kwa wananchi yakuwa amani ni kitu kizuri katika maeneo yote ya Kata hii ya kakunyu....

PONGEZI KWA MKUU WA MKOA WA KAGERA KWA KUTUTEMBELEA

No comments:

Post a Comment