Wednesday 22 May 2013

Nyumba za majani ni hatari kwa maisha yetu.

Nyumba ya kiasili ya majani ikiungua..
 Nyumba ya kiasili iliyo jengwa kwa majani ikiteketea kwa moto baba, mama, watoto wanusurika mana moto huzuni, simanzi, zatanda kijijini sasa hivi ninani wa kulaumu kwani kumekuwepo na ujenzi mbovu wa nyumba zisizo na obora na zenye kuhatarisha maisha ya nguvukazi yetu ......
nyumba yenye mvuto mkubwa lakini nayo ni hatarishi na hasa moto unapo nyemelea mazingira hayo kwani nibora nyumba za kutaaramu na zaujenzi wa bei nafuu  zi pelekwe vijijini kwa ajili ya maendeleo ya watuwake




wakulima hawa waishio vijijini wana uwezo wa kipato hususani wanapo maliza msimu wa kilimo na kuza mazao yao ....pesa wanazo zipata wanakosa kifikishiwa bidhaa za ujenzi kitu ambacho kinawapelekea kukosa ali ya kuboresha makaazi yao na kupelekea fedha hizi kutumbukia kwanye vitendo vya Ulevi ulio kisiri, au kuoa wanawaka wasio na idadi na kusababisha kuanguka kwa maemdeleo kijijini kwetu huku...ushauri mashirika ya mikopo iwakopeshe wakulima hawa wadogo wadogo budhaa za ujezi wa nyumba za garama nafuuu kwa maendeleo yao..

No comments:

Post a Comment