Tuesday 14 May 2013

KARIBUNI KAKUNYU....Tanzania

 >Mpaka wa Tanzania na Uganda ni eneo shwali kwa watanzania na waganda maeneo haya ni yale yaliyokuwa pembezoni kabisa na nchi yetu ya tanzania maeneo yaliyo sheheni mazao yanafaka Mtama, Mahindi, Karanga, Ndizi kwa wingi, Ulezi, pia maziwa kwa wingi Huyu ni  Bloga wa Boshazi akipata habari pembezoni mwa Tanzania Kakunyu na Kasese-Uganda..





Picha hii imekigiwa mpakani kabisa na kupewa jina kuwa Kakunyu ni salama kwa Waganda na Watanzania


>nyumba bora za kusasa zaibuka kana uyoga kijijini kwetu Kakunyu wakulima baada ya kilimo cha muda mrefu na hatimae kuchukua maamuzi ya kuwekeza katika kwa majengo mazuri na ya kudumu hivyo hili ni moja ya jengo la kisasa linalo chipua kijijini kwetu lililo zungukwa na shamba kubwa la ndizi.

No comments:

Post a Comment