Wednesday 15 August 2012


Kijiji cha Byakateba chasifiwa na uongozi wa selekali kwa kijenga zahanati ya kinamama kwa njia ya kujitolea zoezi hilo lililo fanywa na viongozi wa kijiji hicho kwa njia ya kujitolea viongozi wa chama na serekali baada ya kutembelea kijiji hicho walisema yakuwa kijiji hiki cha Bugango kimeanza kutoa maendeleo ya haraka na nimfano mzuri kwa vujiji vungine hapa wilayani Missenyi hatahivyo viongozi wa serekeli wametoa onyo kwa wakazi wa kijijini hapo yakuwa waache tabia ya uchomaji moto katika mapoli ya kijiji hicho kwa sababu endapo watachoma miti uwezekano wa kupata ukame katika eneo hili pia walikumbusha yakua wasiruhusu kuingiza mifugo kutaka nje yanchi kwani kijiji hicha kusipokuwa angalifu kunauwezekano mkubwa wa kutokea milipuko ya magonjwa ng'ombe kijiji cha Bugango nikati ya vijiji vilivyopo pembezoni mwa nchi yetu ya Tanzania na ipapakana na nchi ya uganda 

Thursday 9 August 2012

my facebook profile

ASILI YA MAKABILA HAYA


Makabila ya Wasambaa, Wazigua na Wabondei ni ndugu wa Baba mmoja lakini wote ni wazawa wa mkoa mmoja kulikuwepo na hadidhi moja ya kiutani ambayo wakale wetu walikuwa wakitusimulia kuwa majina ya makabila haya yametokana na matukio yaliyo tokea zamazile kwamfano:-

WAZIGUA:Walizichukua....baada ya mapambani makali baina ndugu hawa watatu yaani ZIGUA, BONDEI, SAMBAA Mzigua aliwasambaratisha Wasambaa, na kusababusha wabondei kukimbilia maeneo ya mabondeni lakini katika mkoa huohuo wa Tanga .Na wazigua hupatikana HANDENI.

BONDEI:- Kama nilivya sema awali yakuwa hii ilikuwa ni hadidhi za wazee wetu nafikili lengo lao lilikuwa ni kuwafunza watoto au vizazi hivi vya kisasa kuu tambua undugu wa karibu baina ya wanandugu hawa waniotolewa hadidhi hii ya kusisimua ambayo ilizaa jina hili kwa lugha ya kiswahili BONDEI yaani Bondeni wakaanza maisha yao maeneo hayo ya MUHEZA....

SAMBAA:-  Niukweli usio fichika pia katika lugha ya kiswahili SAMBAA maanayake kutawanyika anu kutapakaa katika maeneo mengine.... basi ndugu huyo msa\mbaa alisambaa na na kwenda katika milima ya usambara huko RUSHOTO na niwakulima mashuhuri sana wa matunda na mazao mengineo

KWANINI BLOGGEL HII nimependa kiiita jina hili la BOSHAZI?
BOSHAZI maanayake ni BONDEI, SHAMBAA, ZIGUA,  Kifupichake ni BOSHAZI na nimevitiwa na ndugu hawa watatu kwa maana mimi ni metokana na kabila moja kati ya haya matatu..





LENGO:- Lengo langu si kwamba kutaka kulizungumzia kuhusiana na wana hawa wa familia hawa bali ni kichocheo cha kukumbushia vijana wa kileo mambo mengi yaliyo jificha na huenda yakatoweka na kubaki kama histiria yakuwa yalikuwepo kwa hiyo uberishaji wa hii Blogger ni mwanzo wa kumfungua macho mtanzania katika utajili mkubwa tulio nao naomba niishie hapa