Thursday 9 May 2013

Siku ya waandishi wa habari duniani tumeipokea kwa furaha kwakuwa tumepata siku ya kukutana pamoja na kukumbukana katika harakati ya kumtetea mwandishi wetu wa habari Duniani lakini sihilo tuu pia kutafakari matatizo yanayo mkumba mwandishi wetu wa habari humu duniani hususan nchini kwetu Tanzania lakini si hayo tuu wapo waandishi wa habari wengi wa ndani ya nchi pia na nje ya nchi ambao tayari walikwisha katishwa uhai wao kwa sababu tuu ya kuripoti taarifa zinazo husiana na kazi zao humu daniani ....hawawote wameuawa kikatili kwa sababu ya kutoa taarifa zilizo wagusa watu au makundi ya watu wa ngazi furani kwa wema uau kwa mabaya ambayo wewe ua sisi wananchi tunge paswa kujuzwa hakika kwa kauri moja tunawapongeza waandishi wa habari na kuwapa pole wale wete walio aga dunia tusema WALALE MAHALI PEMA PEPONI AMIN....

No comments:

Post a Comment