Tuesday 14 May 2013

BWENKOMA YANUKA DMU.....

eneo la tukio
 Tukio hili la  kusikitisha linalo husiana na mambo ya wivu wa kimapenzi ni baada ya mwenyeji wa kitongojini hapa kudaiwa kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu ....hivyo aliandaa mtego wa kumnasa mbaya wake hivyo ali waapa tenda watoto wa kihuni ili waweze kumpa taarifa ya mbaya wake alijitokeza mwananchi mmoja ambae ndie huyo marehemu  kitu kilicho mfanya akutwe na umauti mlangoni mwa mtuhumiwa wa kutembea na mke wa mtu
marehemu
Tunawaomba radhi kwa kuitoa/ kuutoa mwili wa marehemu lakini hii ni moja ya mambo yanayo tugusa na yanayo wakumba watu wengi waliomo vijijini na hata vitongojini  hivyo tunatoa wito wa kuwaasa wananchi waache kujichukulia sheria mikononi....kwani upo uwezekano wa kuwagawa wananchi ambao ndio nguvukazi ya taifaletu.

No comments:

Post a Comment