Wednesday 22 May 2013

KANISA LA BUGANGO....KKKT Tanzania

Kanisa la kristu mfalme la Bugango lililopo katika senter ya eneo hili la bugango ni nhimili mkubwa wa eneo letu hili la Tarafa ya Kakunyu, kanisa hili limekuwa ni kiungo kikubwa kwa wakaazi wa eneo hili kwani kwa waumini limekuwa ni kimbilio la waumini wa dhehebu hili la kikristu linalo wapa faraja katika muda wote wa

suku za bwana kupeleka sala zao na pia matoreo yao ya kila siku ya bwana na nikiunganisi kikubwa sanasana kwa kanisa hili kuleta huduma ya Hospitaro yenye watumishi walio na roho, tabia za kikristu pongezi nyingi zinatolewa na wadau kwa juhudi zao za kila siku za kukiweka kijiji hiki katika sura ya mwonekano hapa duniani

No comments:

Post a Comment