Monday 17 June 2013

Wilaya ya Handeni

Wilaya ya Handeni katika mkoa wa Tanga

Handeni ni kati ya wilaya saba ya Mkoa wa Tanga katika Tanzania. Imepakana na wilaya ya Kilindi upande wa magharibi, wilaya ya Korogwe na Mkoa wa Kilimanjaro upande wa kaskazini, wilaya ya Pangani upande wa mashariki na Mkoa wa Pwani kwa kusini.
Mwaka 2002 ilikuwa na wakazi 249,572. [1]

Tarafa

Wilaya ya Handeni ina tarafa 7 kata 19 na vijiji 112. Tarafa zilizopo ni Chanika, Sindeni, Mkumburu, Magamba, Kwamsisi, Mzundu na Mazingara. Kata zilizopo nia kama zifuatazo:

No comments:

Post a Comment