Saturday 15 June 2013

MJANJA HAJI GANGUI

BATA NA CHUI NGOMA DROOOO!!!
Maranyingi tumekuwa hatukubali tunakuwa wabishi tunakuwa wenye dharau tusiopenda maelekezo na hata tunapo fanya makosa hubaki tuki raumu kisa MJANJA HAJIGANGUI sikumoja bata alikuwa katika mikakati ya kutafuta msosi wa mchana na aliwakuta Vyura WAKUGUTA-(wakipiga mayowe) huku na kule ilimradi ilikuwa virugu tupu MMOJA ALIANZA KWA KUSEMA wewewe!!! akaitikiwa na mayowe yakijibizana yangu yangu yangu yangu....yule bata alimuona chura mmoja aliye kaa katika jiwe kubwa huku akiwa mtulivu....yule bata alimsogelea ili amnyakuwe na kumfanya kitoeleo cha siku....yule chura bila ya mategemeo alijikuta tayari yumo kinywani mwa batayule....yulechura shupavu aliitoa mikono yake nynye nguvi mdomoni mwa bata yule na akafanikiwa kumkaba shingo ya bata yule....na bata asijue la kufanya ....hivi una dhani ninani mshindi wa mtego huuuuu~@@@@!!!!!

No comments:

Post a Comment