Sunday 2 June 2013

LUBALEMA PUB.....KYAKA MISSENYI

SEHEMU YA MBELE
 Amini usiamini Kyaka Wilayani ya missenyi yapata Bar & Hotel ya kisasa hoteli hii ya kitali ina uweka mji mdogo wa kyaka katika sura ya kimataifa hoteli hiyo iliyo sheheni vivutio vya kilia aina kwa mfano Ukumbi wa disco, Bar juu ya gorofa na chini ya gorofa, kumbi za kupumzikia, vyumba vya kulala wageni vilivyo andaliwa kisasa kabisa vyenye kupitisha hewa safi na vyomba vyenye madirisha makubwa bustani yenye huduma ya bar kwanyuma yenye kuvutia inayo weza kuruhusu watoto kuvinjari bustanini humo .....bustani hiyo ipo nyuma ya Hoteli hiyo


SEHEMU YA KUSHOTO

RECEPTION

UJENZI UKIENDELEA
ujenzi wa ukumbi wa Disco wenye kuvutia wakaribia kukamilika nilizungumza na mweshimiwa mwenye baa hiyo mweshimiwa libalema nae alisema yakuwa mimi nimeamua kuwasogezea wana Missenyi maeneo ambayo wataweza kupumzika na kuwaweka katika mtazamo wa kileo ....akaendelea na kusema yakuwa nimempata fundi mzuri sana ambae kwasasa yupo makini katika kujenga Hoteli hii Kitanzania na mtu yeyote atakae tembelea hapa atakubali yakuwa fundi alie jenga hoteli hii amekwenda shule tembelea choo utaona kimeezekwa kwa nyasi hapo gorofani sasa ingia ndani hakika uta kubali maneno yangu...
alisisitiza.

>hii ni moja ya Reception hapo huwezi kuamini hiyo ni maja tuu ya maeneo ambayo unaweza kununulia vinywaji vya aina yote vinywaji baridi na vyenye kuchangamsha .....najivunia sana mradi huu kwani wana misenyi watakubaliana na mchango wangu huu nina wafanyakazi wenye uzoefu wa kimataifa aliendelea kusema hayo mweshimiwa Libalema






Fundi wa ujenzi wa Bar hii mwenye shati ya mistari mistari akikagua kazi yake ikiendelea alijigamba kwa kusema mimi nimzoefu na tayari nimekwisha fanikiwa kujenga nyumba nyingi za starehe lakini hii ni kiboko subiri huu ukumbi ukamilike watu wote wa maeneo haya ya misenyi wata changanyikiwa na nakuapia maligafi zore zinazo jenga Hoteli hii ni mali ya humuhumu Missenyi alitanabaisha Fundi huyu...WANA BLOG WANAMPONGEZA SANA MHESHIMIWA LIBALEMA...

No comments:

Post a Comment