Sunday 2 June 2013

MAJI NI UHAI.....KYAKA

 Pongezi nyingi zamimi nika kupongeza shirika moja la Japani na la Tanzania kufanikiwa kuwapatia maji safi na salama kutokea katika chanzo cha maji cha Mto kagera Usafishaji maji hayo yame pelekea hadi kuita maji ya kto huu kwawa ni seruji ya mto Kagera
msimamizi wa mradi huu ali sema yakuwa huu mradi utatusaidia sana sisi wananchi tunao ushi eneo hili la Kyaka kwani hayamaji hapo awali tulikuwa tukinywa na kupikia lakini hivi sasa hatusubutu bali kazi kubwa tunayo ifanya ni kwaajili ya kufulia tuu kwani hapo zamani ukinywa matumbo yanauma na nirahisa kupatwa na magonjwa ya amoeba lakini sasa tuna amani TUNATOA SHUKURANI KWA MRADI HUU WA JAPANI NA TANZANIA -Pia tunatoa shukurani kwa mkuu wa wilaya -na wamkoa wa Kagera aliendelea kusema hayo msimamizi huyo.

No comments:

Post a Comment