CHAMA KIPYA CHA SIASA CHAPATA USAJILI JANA.
 |
| Tendwa akikabidhi cheti cha usajili CHAUMMA |
 |
| Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, John Tendwa (kulia) akizungumza na wana CHAUMMA |
 |
| Baadhi ya wanachama cha CHAUMMA pamoja na viongozi wao wakishangilia baada ya kupewa usajili |
 |
| Wanachama wakionesha cheti cha usajili kwa wanahabari |
 |
| Gari la Mwenyekiti wa muda wa CHAUMMA, Wallance Mayunga likiondoka baada ya hafla ya usajili |
Chama kipya cha siasa chapata usajili chama hicho kitajilikana kwa jina la ....CHAUMMA kitaungana navyama vingine vya Tanzania vya Siasa
No comments:
Post a Comment