Monday 3 June 2013

DUNIANI KUNA MAMBO....

Amakweli duniani kuna mambo samaki ni chakula lakini tunapo fikia kufanikiwa kukamata/ kumvua samaki wa ajabu kwakweli inakuwa noma samaki huyu ambae hadi hivi sasa bado haja bainika jina lake alikamatiwa katika Bahali ya hindi ndani ya ukanda wa jumuia ya africa mashariki.....kwahio wapenda kitoeo sha samaki kaeni shonjo......

No comments:

Post a Comment