Saturday 1 June 2013

NJIWA WA KIJANI


NJIWA WA KIJANI




Njiwa wa kijani wavinjari katika viunga vya Bugango wakitokea mashariki ya mbali wakiwa na afya nzuri na wenyenguvu kuliko njiwa wa kawaida walionekena katika eneo la Bugango border wakiruka kwa >makundi makundi makubwa yenye njiwa takriban 200 au 500 ….
Mkazi mmoja wa Bugango Border alisikika akisema yakuwa njiwa hawa ni walie ambao wanasafiri umbali mrefu isitoshe akaendelea na kusena yakuwa kumekuwepo na utaratibu wa njiwa au ndege wa anina hii kuhama kutoka sehemu moja ya bara na kwenda sehemu nyingini ya bara nahii inatokana na majira katika mwaka au miaka na kwakuwa eneo hili ni eneo la ukanda wa Bonde la ufa basi tutapata bahati ya kuwaone ndege hawa wenye maumbo mazuri na wenye kasi kubwa wakivinjari katika viunga vya kwetu kwakweli njiwa mmoja huenda wkafikia uzito wa takribani ya nusu kilo ya nyama……

Inasemekana yakuwa njiwa hawa wa Kijani ni wenye uwezo wa kusafiri seheo moja ya bara mna kwenda sehemu nyingine ya bara hii ni miujiza kwetu sisi tulio katika Bonde la ufa kwahio tutakuwa mashuhuda kwa wenzetu na tuta wawakilisha wenzetu kwa kuwashangilia mashujaa wetu hawa wenyeuwwwezo wa kusafiri dunia nzima njiwa hawa wanaambaa na bonde la ufa wakitokea Uganda na sasa tunafikiria wamna kwenda na kuambaa ambaa na ziwa Victoria ….wakiendelea kuelekea kusini mwa Africa jamani hivi hamuoni miujiza hii alidai msemaji mmoja wa Bugango Border……

Kwakweli ni makundi makubwa ya kutisha yamezagaa kila sehemu hapa bugango Njiwa hawa ni wastarabu sana na hawana shida na mtu wao ni kutafuta mahitaji yao kwamfano chakula, maji….na kupumzika mafa baada ya lisaa limoja tunaliona kundi jingine likija …..hivyo wale walio tangulia kufika pale ilikuwa kama wanaamlishana nawao haooooo wakiondoka na safari yao kwa mbwembwe na madaha amakweli duniani kuna mambo.

No comments:

Post a Comment