Saturday 1 June 2013

VIPEPEO WA MINZIRO


PORI LA MINZIRO




MAMA MINZIRO


Tunaposema poli la minziro tuna maanisha nini kiujumla? Pori la minziro lililopo kirometa kadhaa kutoka Bukoba mjini hadi Missenyi, lakini si hivyo tuu pia lipo kilometa takribani 30 kutoka katika kituo cha police cha wiliya ya Missenyi unapo fika kituoni hapo utaelekea njia ya vimbi upande wa kulia kama una katika barabara ya  Mtukura  vituo utakapo vipitia hadi kufika mwisho wa safari yako  ni pamoja na Kasambya kanisani na utakwenda moja kwa moja hadi ulifikie poli hilo, na mara ulivukapo utauona uanda wa tambarare na majumba ya watu wa katika kijiji hicho cha Minziro…..lengo la kuanzia mbali katika maelezo yangu ni kutaka kukupa picha ya kukuweka karibu na maelezo yangu kuhusiana na hadidhi hii ya poli la Minziro…….
PENDO
Lengo la kulitolea ushuhuda wa poli hili ni kwasababu Poli la Minziro limo katika majabu ya mungu na kuweza kuelezea kwa undani na nikwa shuhuda wa maajabu yaliyo jificha ndani ya poli hili la Minziro ambalo na ni eneo linalo pakana na mpaka wa Tanzania na nchi ya Uganda na eneo hili lipo wilayani Missenyi na lipo katikati ya Mpaka wa Mtukura na Kanyigo na nieneo salama kwa usafiri kuingia Uganda watu wa eneo hili wanazungunza lugha ya Kuganda cha Tanzania vyakaula vyao ni Ndizi…Matoke, Maharage, Mtama wa ugali ujulikanao kwa jina la Akalu, Maziwa kwa wingi nyamana alfajiri Kifungua kinywa chao hupenda kunywa, Uji kwa maziwa.******

POLI LA MINZIRO : na yalio sheheni katika poli hili ni Mjoka makubwa, Miti ya mbao, ya mininga, miumura, siprasi, misona bari, …..matunda ya kili aina hupatikana hapa polini humu….wadudu, ndege….mijusi Vipepeo wa kila aina ambao wengine hawawezi kupatikana humu duniani nk…bali Tanzania tuu.*****
MAGDARENA
KWALAE NINGEPENDA KUMZUNGUMZIA MDUDU KIPEPEO WA MINZIRO:” Kipepeo ni mdudu ya kawaida sana macheoni mwetu na tinao wajuwa sisi” na walio sheheni nchini kwatu Tanzania niwengi sana….sasa leo ningependa niwapeni niliyo yaona katika poli hili la Miznziro ni hawa Vipepeo wa ajabu ambao tume wabaini katoka poli hili la Minziro, ambao wengine ni wakubwa wadogo, wembamba, wanene na kadharika ….kwakweli Tanzania inakosa kufichua maajabu haya ya kwenye poli hili la Minziro….Rangi nzuru walizo nazo, urembo walio pendelewa na Mungu linaupamba msitu huu wa minziro kama una bisha fuka ujionee,*****
MAGDARENA
Uchunguzi ualio fanywa ambao si rasmi: na kutudhihirishia yakuwa Vipepeo hawa wana mashirikiano makubwa kimatenbezi kwani vipepeo karibu ya ishirini wali pakwa rangi nyekundu  miguuni mwao miezi mtatu baadae alikutwa mmoja wao huko Kagera sugar katika dirisha la Bar ya kagera sugar akiwa amekwisha kufa, mwengine alikutwa maeneo ya Karagwe pia katika dirisha la nyumba ya kulala wageni nae akiwa tayari amekwisha kufa…….hapa inatupa picha yakuwa Vipepeo hawa wa Minziro wanauwezo wa kusafiri umbali mrefu na nikiunganishi cha ujirani mwema baina ya Poli hili la minziro na wilaya za mkoa huu wa Kagera….


No comments:

Post a Comment