Thursday 20 June 2013

BUGANGO BORDER: wataalam wa ICT- WATINHA KIJIJINI.


BUGANGO BORDER:

BUGANGO BORDER: yatembelewa na wageni wa ICT –kitoka HQ Dar-Es salam Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa mawanza….na Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kagera wakagua Ofisi wajitambulisha wafurahia sana na kudai yakuwa Idara ya Uhamiaji ni kila kona ya Tanzania ….Pia viongozi wa Blog ya Boshazi na Kwetu Tanga wakishirikiana na Uongozi wa Bugango Border wapongeza sana ujio wao na kukiri ya kuwa safari yao ni changamoto kwa wana BUGANGO……
Ujimbe huo ulikuwa na watu wafuatao:-
*      MOHAMEDI AWESU…….SSIS (ICT) HQ-Dar es salaam,
*      ALI  A. ALI…………CBMM (AIIS) Mwanza,
Picha ya Pamoja

Wakiwa Ofisini 
Bugango....
waki saini kitabu cha mapokezi

wakipata taarifa za kituo


wakiwa safarini kuelekea Mtukura

safari njema
       RODERN L. MTULO…….ICT HQ DSM,
*      MABROUK A. KHAMIS………..ICT HQ DSM,
*      SAULO KASHEKE …….(MT),
*      ABDALLAH M NASSORO- BUKOBA

Ziara yao imetembelea Mkoa mzima wa Kagera Ulio na Ofisi za Uhamiaji na kukagua huduma zao za ICT….uongozi wa Bugango border ame wapokea na una wakaribisha tena mkoani kagera…


No comments:

Post a Comment