Tuesday 16 April 2013

UZURI WA KIJIJI CHA BUGANGO.....HEBU NIAMBIEEE


HADITHI
Napenda kuandika hadidhi hizi ndogondogo zinazo onyesha utamu wa uzuri wan chi yetu ya Tanzania na kuweza kwa kiasi furani kuwadadavulieni utajiri wa mali asili ulio jificha ndani ya nchi yetu hii ya Tanzania leo ninge penda kuwaonyesheni kijiji hiki cha Bugango kipo kilimeta kadhaa nje kidogo ya mji wa Bunazi njia ya kewenda Kagera sugar unaelekea kakunyu kwani tokea njiapanda ya bunazi kwenda Kakunyu ni sawa na kilometa 90 kabla ya kufika kakunyu kunanjia panda ya kwenda Bugango pana kijiji kijulikanacho kwa jina la Mgururu hivyo kutoka Mgeruru kwenda Bugango kunaumbali wa Kilometa 20-25 kufikia mpakani ndiyo utakutana na mpaka huu mpya wa Bugango hiki ki kijiji cha mpakani sifa kubwa ya hapa ni kilimo cha ndizi,
na Ulezi ufugaji wa mifugo mbali mbali kama vili Ng’ombe, Kuku, Kondoo, Bata, Sungura, nk



Napenda kuandika hadidhi hizi ndogondogo zinazo onyesha utamu wa uzuri wan chi yetu ya Tanzania na kuweza kwa kiasi furani kuwadadavulieni utajiri wa mali asili ulio jificha ndani ya nchi yetu hii ya Tanzania leo ninge penda kuwaonyesheni kijiji hiki cha Bugango kipo kilimeta kadhaa nje kidogo ya mji wa Bunazi njia ya kewenda Kagera sugar unaelekea kakunyu kwani tokea njiapanda ya bunazi kwenda Kakunyu ni sawa na kilometa 90 kabla ya kufika kakunyu kunanjia panda ya kwenda Bugango pana kijiji kijulikanacho kwa jina la Mgururu hivyo kutoka Mgeruru kwenda Bugango kunaumbali wa Kilometa 20-25 kufikia mpakani ndiyo utakutana na mpaka huu mpya wa Bugango hiki ki kijiji cha mpakani sifa kubwa ya hapa ni kilimo cha ndizi, na Ulezi ufugaji wa mifugo mbali mbali kama vili Ng’ombe, Kuku, Kondoo, Bata, Sungura, nk


Nyumba za wenyeji wa huku kabila la wanyankole asili yao ni Uganda wao asili yao ni wafugaji


Nyumba za wakilima wa kabila la wachiga wao asili yao ni Uganda

Swala la ufugaji limekuwa ni kazi ya kujivunia sana katika eneo letu la hapa Bugango ni ufugaji ng’mbe huku kuna Ng,ombe za kihima zenye pembe ndefu zilizo elekea juu hizi ni za kihima lakini Ng’ombe mwenye pembe zinazo elekea mbele ni za asili ya Kinyarwanda….huu ndio mtazamo wetu wa huki Bugango  lakini mimi nimesema hivi jee wewe umasemaje hebu tualifu ili tupata utamu wa mtazamo wa nchi yetu ya tanzania....mungu ibariki Tanzania munhi ibariki Afrika.....

 

 

No comments:

Post a Comment