Tuesday 23 July 2013

Rais wa Sudan Omar Al Bashir


wanajeshi wa JWTZ
 
 Rais wa Sudan Omar Al Bashir wiki jana alimhakikishia rais Jakaya Kikwete kwa njia ya simu kuwa wote waliohusika katika kuwashambulia wanajeshi wa JWTZ na kuwaua watakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.

Rais Bashir aliongeza kuwa anaamini waliohusika na mauaji hayo walikuwa wahalifu na kuwa lazima wasakwe

 Rais Kikwete amesema ana uhakika waliohusika ni kuwaua wanajeshi wetu ni raia wa Sudan, wawe ni waasi au kina nani, lazima wakamatwe, wawajibishwe ipasazvyo.

Rais wa Sudan Omar Al Bashir wiki jana alimhakikishia rais Jakaya Kikwete kwa njia ya simu kuwa wote waliohusika katika kuwashambulia wanajeshi hao na kuwaua watakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.

Rais Bashir alitoa ahadi hiyo wakati wa mazungumzo na Kikwete akiongeza kuwa anaamini waliohusika na mauaji hayo walikuwa wahalifu na kuwa lazima wasakwe.

No comments:

Post a Comment