Saturday 27 July 2013

MAMLAKA YA VYAKULA TANZANIA

 MAMLAKA YA VYAKULA TANZANIA

 Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limevisimamisha viwanda viwili vya kutengeneza mikate vya Shoprite na Sakina Bakery kutokana na kuzalisha mikate bila kuwa na nembo ya ubora, inayotolewa na shirika hilo.
Hatua hiyo ilitangazwa jana na maofisa wa TBS, baada ya kukagua viwanda hivyo na kukuta vikiendelea na uzalishaji wa mikate ambayo haina alama ya ubora inayotolewa na TBS.
Mwanasheria wa TBS , Babtister Bitaho, akiwa ameambatana na Mkaguzi, David Ndibalima na Ofisa uhusiano, Rhoida Andusamile, waliendesha ukaguzi wa viwanda vya mikate jijini Arusha jana na kubaini idadi kubwa ya mikate inayouzwa ubora wake haujathibitishwa na TBS.
Bitaho alisema sheria ya viwango namba 2 ya mwaka 2009, inakataza kusambaza bidhaa za vyakula bila kupewa alama ya ubora na TBS.
“Sheria ipo wazi kuwa mtu atakayekutwa anazalisha bidhaa za vyakula bila kuwa na alama ya TBS, adhabu yake ni faini kati ya Sh50 milioni hadi Sh100 milioni,” alisema Bitaho.
Ofisa uhusiano wa TBS, Andusamile alisema TBS imeanza ukaguzi wa viwanda vya mikate ambayo haina ubora na kwamba hatua hiyo imekuja baada ya kubaini, kuwepo kwa mikate mingi ambayo haina ubora ulioidhinishwa na TBS.
‘‘ Silaha hizi zote zimekamatwa Dar es Salaam ndani ya wiki zikiwamo zilizotoka kwenye kiwanda cha kutengeneza na kukarabati silaha ambacho kipo Manispaa ya Kinondoni’’i Kamanda Ali Mlege 

  • Ni wale wanaoishi karibu na nyumba inayodaiwa kuwa na kiwanda cha silaha jijini Dar es Salaam.
Dar es Salaam. Mtuhumiwa aliyekamatwa na polisi Julai 18 kwa tuhuma za kumiliki kiwanda cha silaha nyumbani kwake maeneo ya Kawe Mzimuni alifahamika na majirani zake kama fundi funguo.
Juzi, Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ilitangaza kumshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kumiliki kiwanda cha kutengeneza silaha nyumbani kwake kinyume na sheria.

Kaimu Kamanda wa Polisi wa kanda  hiyo,  Ally Mlege alisema  taarifa za uwapo wa kiwanda hicho walizipata baada ya kukamtwa kwa watuhumiwa wanne wa ujambazi.

Wakizungumza kwa masharti ya kutokutaja majina,  majirani hao walisema kijana huyo alikuwa akiishi katika nyumba ya familia pamoja na wazazi na  mkewe, na  alizoeleka mtaani kwa  jina la Makufuli na watu wengi walijua kutengeneza funguo ndio kazi yake iliyokuwa ikimpatia kipato.

Walisema alikuwa ni kijana wa kawaida na alikuwa akijumuika na vijana wengine wa mtaani kama kawaida na hawakuwahi kufikiria wala kuhisi alikuwa akijihusisha na biashara yoyote haramu katika nyumba hiyo ikiwamo  kumiliki  vifaa vya kutengenezea silaha kama SMG na Shotgun, zaidi ya ile ya ufugaji wa ngo’mbe  inayofanywa na familia hiyo

Wakielezea kukamatwa kwake mmoja wa majirani hao, alisema siku ya tukio majira ya saa sita mchana  waliona magari yakienda katika nyumba hiyo inayotazamana na Shule ya Msingi Kawe A na baadaye kuzuka purukushani zilizodumu kwa takribani  muda wa saa mbili.

Walisema baadaye  mtuhumiwa pamoja na mkewe walikamatwa kwa tuhuma hizo.

Walisema mtaa umekuwa kimya toka kutokee kwa tukio hilo kila mmoja akijaribu kutathimi ni kwa namna gani mtuhumiwa huyo aliweza kufanya biashara hiyo kwa siri ikiwa nyumba hiyo iko katika eneo la msongamano wa watu na pia karibu na uwanja ambao wanajeshi huwa wanafanyia mazoezi.
Jana nyumba aliyokuwa akiiishi mtuhumiwa  ilionekana kuwa kimya huku  mlango wa mbele ukiwa umefungwa, na nje kukiwa na zizi la ng’ombe.

Nyumba za jirani watu walioneka nje wakifanya shughuli zao kama kawaida,lakini wengi wao wakiwa makini kuongea .
Siku ya Jumanne Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam ilitangaza kumshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kumiliki kiwanda cha kutengeneza silaha nyumbani kwake kinyume na sheria.
Kaimu kamanda wa polisi wa kanda Maalumu ya Dar es Salaam Ally Mlege alisema  taarifa za kuwapo kiwanda hicho walizipa baada ya kukamtwa kwa watuhumiwa wanne wa ujambazi.

Alisema majambazi hao walikamatwa baada ya taarifa kutoka kwa wasamaria wema na katika mahojiano walifanikiwa kupata taarifa za  kiwanda hicho.
- See more at: http://williammalecela.blogspot.com/2013/07/ya-kuhusu-kiwanda-cha-kutengeza-silaha.html?spref=fb#sthash.DyH1UakB.dpuf

No comments:

Post a Comment