Tuesday 23 July 2013

BAHATI YA MTENDE YAISHIA UTAMU WA TENDE.....


 BUGANGO BORDRE.......Na uhakika wa maji safi na salama


watoto wa Bugango
Mafundi wakianua mitambo yao
Hali ya sito fahamu yakikumba kujiji cha Bugango Border baada ya wataalamu wa kuchimba visima kuwataarifu yakuwa wangeondoka na kurudi tena kwa ajili ya kuwapatia maji ya kichima kwa msaada wa Idara ya Uhamiaji wakiondoa mashina e na mitambo yao walidai yakuwa huku wakisema tumefika umbali wa kutosha kinacho hitajika ni masuala ya kitaalamu na maji yatapatikana KWA KUSEMA KUMEDHALI BAHATI YA MTENDE KUZUDIWA NA TENDE ZAKE .....wananchi wakaangua kicheko kwani hakuna hatammoja mwenye uelewa wa mti huu wa Mtende.
Uchomoaji nondo kisimani
pampu


Pampu zikipakiwa katika magari makubwa ya uchimbaji wa visima




Bomba zachomolewa
kazi ikiendelea ya uchomoaji wa bomba hizo


ukiendelea mafundi na wananchi wakiduaa na kusema yakuwa hivi mnajuwa wenzenu wa Murusagamba wamepata maji mazuri tena visima vyao ni vya uhakika.......











Hii ni hali halisi kwa wama Bugango kugubikwa na wasiwasi wa kukosa maji safi na sarama katika kijiji hiki cha Bugango Border.....wadai

"OMBENI MOLA MAJI YATAWAFIKIA
 NA KUONDOKA KIJIJINI HUMO"....

Bloga wa Bugango Border, Kwetu Tanga, Boshazi, na Zigua Simo na Njero wakiwa wameshikwa na Butwaa wasijuwe la kuwahabarisha wana Bugango Border.....ALAMSIKI NJEMA

No comments:

Post a Comment