Tuesday 16 July 2013

BUGANGO...YASEMA OYEEEEEE!!!!

 Mafundi wa kuchumba visima wakiwa katika heka heka za kusaka maji Bugango ....wananchi wapongeza huduma za Idara ya Uhamiaji...
 kamanda shundi awakaribusha wageni wao wachimbaji visina Bugango border...
 Wadai Maji yakipatikana tutakuwa kama Murusagamba wadai idara yawahesimu watu wake..
Harakati za kusaka maji Bugango Border....wananchi wa Bugango waipongeza idara ya Uhamiaji

No comments:

Post a Comment