Wenye ulemavu waipongeza Tume
Taasisi ya Maendeleo kwa Viziwi Tanzania, imeipongeza Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya kwa kuwakumbuka watu wenye ulemavu.
Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo, Kelvin Nyema
akizungumza na gazeti hili jana alisema, kwa kipindi kirefu jamii ya
watu wenye ulemavu walisahaulika na walikuwa hawatambuliki katika maeneo
mbalimbali.
“Tumefurahi sana kuona jamii ya watu wenye ulemavu
wanaingia katika Bunge kwa kuteuliwa kwani awali uwakilishi ulikuwa
hauuwiani na idadi kamili,”
alisema Nyema na kuongeza:
alisema Nyema na kuongeza:
Alisema jamii inatakiwa kutambua kwamba hakuna anayependa kuwa mlemavu hivyo ni wakati wa kuijadili rasimu hiyo kwa makini.
No comments:
Post a Comment