NJIWA
WA KIJANI
Njiwa wa kijani wavinjari katika viunga vya Bugango
wakitokea mashariki ya mbali wakiwa na afya nzuri na wenyenguvu kuliko njiwa wa
kawaida walionekena katika eneo la Bugango border wakiruka kwa >makundi
makundi makubwa yenye njiwa takriban 200 au 500 ….
Mkazi mmoja wa Bugango Border alisikika akisema yakuwa njiwa
hawa ni walie ambao wanasafiri umbali mrefu isitoshe akaendelea na kusena
yakuwa kumekuwepo na utaratibu wa njiwa au ndege wa anina hii kuhama kutoka
sehemu moja ya bara na kwenda sehemu nyingini ya bara nahii inatokana na majira
katika mwaka au miaka na kwakuwa eneo hili ni eneo la ukanda wa Bonde la ufa
basi tutapata bahati ya kuwaone ndege hawa wenye maumbo mazuri na wenye kasi
kubwa wakivinjari katika viunga vya kwetu kwakweli njiwa mmoja huenda wkafikia
uzito wa takribani ya nusu kilo ya nyama……
Inasemekana yakuwa njiwa hawa wa Kijani ni wenye uwezo wa
kusafiri seheo moja ya bara mna kwenda sehemu nyingine ya bara hii ni miujiza
kwetu sisi tulio katika Bonde la ufa kwahio tutakuwa mashuhuda kwa wenzetu na
tuta wawakilisha wenzetu kwa kuwashangilia mashujaa wetu hawa wenyeuwwwezo wa
kusafiri dunia nzima njiwa hawa wanaambaa na bonde la ufa wakitokea Uganda na
sasa tunafikiria wamna kwenda na kuambaa ambaa na ziwa Victoria ….wakiendelea
kuelekea kusini mwa Africa jamani hivi hamuoni miujiza hii alidai msemaji mmoja
wa Bugango Border……
Kwakweli ni makundi makubwa ya kutisha yamezagaa kila sehemu
hapa bugango Njiwa hawa ni wastarabu sana na hawana shida na mtu wao ni kutafuta
mahitaji yao kwamfano chakula, maji….na kupumzika mafa baada ya lisaa limoja
tunaliona kundi jingine likija …..hivyo wale walio tangulia kufika pale ilikuwa
kama wanaamlishana nawao haooooo wakiondoka na safari yao kwa mbwembwe na
madaha amakweli duniani kuna mambo.
No comments:
Post a Comment