mji wa Garisa |
Mtazamo wangu ni MJI WA GARISA-uliopo nchini Somalia mji huu ni shuhuda wa mapigano yaliyo kuwa yakipiganwa kwa miongo mungi kwani Mkabila ya ndani ya Somalia yali uhalibu kabisa Miji na nchi hii kabisa makabila hayo yalitokea hadi kukumbwa na maficho ya magaidi pia vikosi vya "kimataifa kuingilia nchi humo na kiudhibiti" kutokana na uvamizi wa watu wabaya ambao wali wasababisha, wamama watoto, wazee, vilema, kuishi maisha magumu yayakutisha na kuishi Ukimbizini......".Lengo la makala yangu hii ya leo ni kutaka kuishukuru amani" KWANI AMANI NIKITU CHA THAMANI SANA POPOTE PALE DUNIANI- nikiwa na maana pasipo na amani hakuna Upendo, Maendeleo... jee wewe unashiriki vipi kuidimisha Amani......toka katika familia yako....Mtaani pako.....Kijijini kwako....Wilayani kwako ....Mkoani kwako...Nchini kwako na hata Duniani????? sasa wakati umefika "TUNZA AMANI NA AMANI IKUTUNZE"
Tuilinde amani kwa gharama yoyote......
ReplyDelete