PORI LA MINZIRO
MAMA MINZIRO |
PENDO |
Lengo la kulitolea ushuhuda wa poli hili ni kwasababu Poli
la Minziro limo katika majabu ya mungu na kuweza kuelezea kwa undani na nikwa
shuhuda wa maajabu yaliyo jificha ndani ya poli hili la Minziro ambalo na ni eneo
linalo pakana na mpaka wa Tanzania na nchi ya Uganda na eneo hili lipo wilayani
Missenyi na lipo katikati ya Mpaka wa Mtukura na Kanyigo na nieneo salama kwa
usafiri kuingia Uganda watu wa eneo hili wanazungunza lugha ya Kuganda cha
Tanzania vyakaula vyao ni Ndizi…Matoke, Maharage, Mtama wa ugali ujulikanao kwa
jina la Akalu, Maziwa kwa wingi nyamana alfajiri Kifungua kinywa chao hupenda
kunywa, Uji kwa maziwa.******
POLI LA MINZIRO : na yalio sheheni katika poli hili ni Mjoka
makubwa, Miti ya mbao, ya mininga, miumura, siprasi, misona bari, …..matunda ya
kili aina hupatikana hapa polini humu….wadudu, ndege….mijusi
Vipepeo wa kila aina ambao wengine hawawezi kupatikana humu duniani nk…bali
Tanzania tuu.*****
MAGDARENA |
KWALAE NINGEPENDA KUMZUNGUMZIA MDUDU KIPEPEO WA MINZIRO:”
Kipepeo ni mdudu ya kawaida sana macheoni mwetu na tinao wajuwa sisi” na walio
sheheni nchini kwatu Tanzania niwengi sana….sasa leo ningependa niwapeni niliyo
yaona katika poli hili la Miznziro ni hawa Vipepeo wa ajabu ambao tume wabaini
katoka poli hili la Minziro, ambao wengine ni wakubwa wadogo, wembamba, wanene
na kadharika ….kwakweli Tanzania inakosa kufichua maajabu haya ya kwenye poli
hili la Minziro….Rangi nzuru walizo nazo, urembo walio pendelewa na Mungu linaupamba
msitu huu wa minziro kama una bisha fuka ujionee,*****
MAGDARENA |
Uchunguzi ualio fanywa ambao si rasmi: na
kutudhihirishia yakuwa Vipepeo hawa wana mashirikiano makubwa kimatenbezi kwani
vipepeo karibu ya ishirini wali pakwa rangi nyekundu miguuni mwao miezi mtatu baadae alikutwa
mmoja wao huko Kagera sugar katika dirisha la Bar ya kagera sugar akiwa
amekwisha kufa, mwengine alikutwa maeneo ya Karagwe pia katika dirisha la
nyumba ya kulala wageni nae akiwa tayari amekwisha kufa…….hapa inatupa picha
yakuwa Vipepeo hawa wa Minziro wanauwezo wa kusafiri umbali mrefu na
nikiunganishi cha ujirani mwema baina ya Poli hili la minziro na wilaya za mkoa
huu wa Kagera….
No comments:
Post a Comment