Bondei, Sambaa & Zigua
Thursday, 5 September 2013
CHEKA KWA RAHA ZAKO
CHEKA KWA RAHA ZAKO :
JANJA alipita sehemu isiyoruhusiwa katika kambi ya jeshi na akapewa adhabu ya kuhamisha tofali 1,000.
JANJA akajitahidi akabeba tofal 900 na akawa hoi! Na ghafla akakumbuka kuwa Mkuu wa Kambi ni rafiki yake walisoma pamoja, akampigia simu.
JANJA : Mkuu, vijana wako wamenipa adhabu ya kuhamisha matofali 1000!
MKUU WA KAMBI : Hao wajinga kweli hawajui tunavyofahamiana! Wasikusumbue, mimi ndio mkuu wao. Zirudishe palepale zilipokuwa mwanzo, halafu uje ofisini tuonane.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment