HADITHI
Napenda kuandika
hadidhi hizi ndogondogo zinazo onyesha utamu wa uzuri wan chi yetu ya Tanzania
na kuweza kwa kiasi furani kuwadadavulieni utajiri wa mali asili ulio jificha
ndani ya nchi yetu hii ya Tanzania leo ninge penda kuwaonyesheni kijiji hiki
cha Bugango kipo kilimeta kadhaa nje kidogo ya mji wa Bunazi njia ya kewenda
Kagera sugar unaelekea kakunyu kwani tokea njiapanda ya bunazi kwenda Kakunyu
ni sawa na kilometa 90 kabla ya kufika kakunyu kunanjia panda ya kwenda Bugango
pana kijiji kijulikanacho kwa jina la Mgururu hivyo kutoka Mgeruru kwenda
Bugango kunaumbali wa Kilometa 20-25 kufikia mpakani ndiyo utakutana na mpaka
huu mpya wa Bugango hiki ki kijiji cha mpakani sifa kubwa ya hapa ni kilimo cha
ndizi,na Ulezi ufugaji wa mifugo mbali mbali kama vili Ng’ombe, Kuku, Kondoo, Bata, Sungura, nk
|
|
No comments:
Post a Comment