VIONGOZI WA
WILAYA YA MISSENYI
WAMWAGA NEEMA KATA YA
KAKUNYU
Katika hali ya kutia moyo na yaneema
yadhihirika katika Tarafa ya Kakunyu baada ya viongovi wa wilaya ya Missenyi
kutinga katika vijiji hivyo na kujadili kwa kina jinsi ya kuboresha hali ya
kilimo ndana ya maeneo pichani ni mkuu wa wilaya Mweshimiwa Nshiku, mwenye nguo
ya bluu Kiongozi wa Tarafa ya Kakunyu, mwenye kofia mwenyekiti wa kijiji cha
Bugango
NEMA:- Tayari maafisa kulimo na Mifugo
wamiminika na kuanza kazi huku Wakiweka
mikakati ya kuinua kilimo Tarafani Kakunyu,
Neema ya
mazao ya Mpunga, Alizeti, Kahawa, na masuala ya kilimo cha kitaalamu cha
miminika Tarafani humu .
WANANCHI:-wananchi tarafani hapa wapongeza juhudi zilizo fanywa
na uongozi wa missenyi wa kukiboreshea kilimo Tarafani hapa,
MAAFISA UGANI:- Maafisa kilimo hawa
wamefurahia sana kwa upokewaji wao Tarafani humu na kuahidi kutoa utaalamu wao
kwa kasi zaidi na kubadilisha hali ya kilimo cha kizamani hadi kuwa cha
kitaalamu
MAPAMBANO :- Maafisa kilimo waapa
kupambana na magonjwa ya mazao kwa mfano wa gonjwa hili la MNYAUKO linali shambulia
zao la migomba- wilayani Missenyi watoa
USHAURI:- Uongozi watoa wito kwa
wananchi kutoa ushirikiano kwa wataalamu wote walio letwa Tarafani humu ili
mafanikio yaweze kuwafikia kwa kasi yenye mafanikio…..
No comments:
Post a Comment