Kijiji cha Byakateba chasifiwa na uongozi wa selekali kwa kijenga zahanati ya kinamama kwa njia ya kujitolea zoezi hilo lililo fanywa na viongozi wa kijiji hicho kwa njia ya kujitolea viongozi wa chama na serekali baada ya kutembelea kijiji hicho walisema yakuwa kijiji hiki cha Bugango kimeanza kutoa maendeleo ya haraka na nimfano mzuri kwa vujiji vungine hapa wilayani Missenyi hatahivyo viongozi wa serekeli wametoa onyo kwa wakazi wa kijijini hapo yakuwa waache tabia ya uchomaji moto katika mapoli ya kijiji hicho kwa sababu endapo watachoma miti uwezekano wa kupata ukame katika eneo hili pia walikumbusha yakua wasiruhusu kuingiza mifugo kutaka nje yanchi kwani kijiji hicha kusipokuwa angalifu kunauwezekano mkubwa wa kutokea milipuko ya magonjwa ng'ombe kijiji cha Bugango nikati ya vijiji vilivyopo pembezoni mwa nchi yetu ya Tanzania na ipapakana na nchi ya uganda
No comments:
Post a Comment