KAGERA SUGAR-(KAGERA SUKARI)
TUNAPO
SEMA:- Kagera Sikari au Kagera sugar ni kampuni ya utengenezaji sukari
mkoani kwatu KAGERA…. kwakweli
nimepaswa kulisema hili kwakuwa kumekuwepo na dhana ya kuwa mambo mzuri yote
yapo mijini… kwakweli usemi huu ulifutwa na marafiki zetu kutoka Australia na
mwingine kutoka marekeni ambao walidiriki kusema yakuwa.
“kuwanda hiki cha sikari Tanzania ni hazina
ya utajiri iliya jificha katika kiza kinene” mimi nilifanikiwa kumuuliza kwanini
unasema hivi?
wao
wakanijibu “unasikia rafiki ….wewe hujui” kwani nitakueleza na wewe
utaamini ….unajua kiwanda hiki kinatumia fedha nyingi katika kuanda sukari tu… wakacheka na kusema “sukari tuuu” wakaendekea
kusema huku wakiwa makini zaidi hiki kiwanda mimi nakuapia ni pesa tupu pesa
peesa pesa tupu, alisistiza huku akiashiria kuomba apatiwe kiberiti cha
kuwashia sigareti yake….akaanza kutujuza huku… akiiwasha sigareti yake….ona
Unafahami
katika mua kunautajiri mwingi sana kwa mfano:-
ü
Muwa:-
tuu yale majani yake…..utapata chakula cha wanyama kama vile Ng’ombe, Sungura,
farasi, mbuzi, nk. Alisema mmoja wa marafiki hawa alisema,
ü
Molases:-aliemdelea
kusema hii ipo katika aina ya tope zita
lenye rangi nyeusi likiandaliwa vizuri lingeweza kutoa spiriti nyingi sana
ambayo mngeweza kutengenezea vinywaji vikali ambavyo vinge tengenezwa kitaalamu
na vitawaburudisha wananchi, isitoshe pia mahospitarini spiriti hii ingefaa,
sasa ona wangepata pesa ningi watakapouza nje ya nchi hivi mnaonaje marafiki
sisi tulikaa kimya tukimkodokea macho akaemdelea kusema.
ü
Mbolea:-aliendelea
kusema unajua matakataka waliozalishwa na utengenezwaji wa sukari au ya miwa
hii ingeweza kusindikwa kwa muda furani hadi yakawa mbolea ambayo yangetumika
katika kukuzia mazao ya mashambani na katika bustani zetu za mboga au maua kitu
ambachu watu wangegombania na kuwaingizieni fedha nyingi mifukoni mwenu rafiki
aliendelea kuelezea.
ü
Gasi:-aliendelea
kusema yakuwa hii miwa na uchafu wake ukiuhifadhi kitaaram unaweza kupata gesi
nyingi ambayo mngeweza kuitumia katika matinizi yenu kama ya kupikia na hata
kuwashia taa katika vijiji vyenu,
ü
Vinywaji:-alisisitiza kwa kusema
yakuwa mimi napenda sana kunywa juisi hapa kunaaina nyingi za vinywaji, tangu
vya baridi hadi vya moto! Alicheka na kutuomba tumruhusu aendelee na safari
yake.
Tulishikwa
na butwa tusielewe la kulichangia katika mazungumzo hayo tuliwaaga marfiki zetu
hawa na kuendelea na safari yau kurudi kwao….kwakweli mashamba ya Kagera sugar,
kimwonekano ni hazina kubwa mkoani kwetu kagera na nikivutio kikubwa sana sana
kama hauamini ngojea nikitumie japo picha hizi nawewe uweze kuburudika kama
sisi wenzio tunavyo farijika na hazina hii tuliyo nayo huku kwetu Kagea……leo
nakuonyesha kwa kiasi tuu sikunyingine nitakuonjesha hata sukari yetu ya Kagera
sugar….
No comments:
Post a Comment