Wednesday, 17 April 2013

UDHIBITI WA UBOVU WA MIUNDO MBINU


Wakati sisi tuking'angania ubovu wa barabara ndani ya nchi yetu na miundombinu kuwa haifai ni vyema tukatoa mawazo ni kwajinsi gani tutakavyo weza kupambana na hali hii kwani sisi tunalalamika lakini wenzetu wanaumiza vichwa katika kulitatua tatizo hili hali ya hewa na mabadiliko ya kijiografia ni chanzo kikubwa katika ugumu wa udhibiti wa ubuvu wa miundombinu ya Barabara

Ukarabati wa barabara nijambo linalo umiza sana vichwa viongozi wetu wa awamu ya kwanza, ya pili hadi ya nne hii ni

 dariri njema katika kupambana na tatizo hili lililokuwa likikera wananchi kwa kipindi kirefu huu ni ushahidi tosha unao onyesa hatua za umakusudi zinazo chukuliwa kupambana na uhaba wa na ugumu wa miundombini ya barabara inavyo shughulikiwa hili ni eneo moja tuu ndani kabisa mwa nchi yetu lakini huduma hii inatatuliwa hivyo wakatu umefuka wa kushirikiana kulitatua tatizo hili.....

Viongozi wetu makini wakiwa wana umiza vichwa katika kulitatua tatizo au matatizo haya hivi sisi tuna wezaje kuwasaidia kusonga mbele kwenda kwenye maendeleo ni hili moja tuu kufanya kazi kwa bidii na kuhakikisa maendeleo ya haraka yanapatikana kiusahihi

Awamu zote zimejitahudi sana hivyo pale penye maendeleo nivema pakatupiwa RUPIA.......

No comments:

Post a Comment