Timuzote hizi zimekuwa zikitoa ushindani mkubwa katika kuucheza mchezo huu wa mpira wa kikapo Tanzania kwani kulikuwepo na mashindano mengi kama vile Mashindano ya kimkoa, mashindano ya Taifa , mashindano ya Marehemu Nshiku, na kadharuka kwani wachezaji wote walikuwa wakiucheza mchezo huu kama ndugu kitu kilicho pelekea wachezaji wake wote kuishi kwa kutambuana na kuelewana, kusaminiana katika shida na raha.....lakini si hilo tuu, UMOJA, USHIKAMANO, UZARENDO uliota mizizi na kati ya timu kwa timu, mchezaji kwa mchezaji, na hata familia moja ya mwanamichezo na nyingine....
NATOA HESHIMA ZANGU KWA WACHEZAJI WENZANGU WA KATI YA MIAKA YA ...1970.....hadi nilipo acha kuucheza mpira huu na kubaki kuwa mshauri kwa vijana walio jitokeza na kushikilia hatami *Hassan Kange, *Zonga *Abass mansuri* Raimond ndanshau* Mwalimu ddoto* Raphael Kibwando* Peter Mgonda* Andrew Kizenga Shundi* Mzee Malay* Natty Mdeme* Bruno Mdeme *Frolida* Frola Lee, * Eke Mwaipopo *Bruno *, Sesi Manyerere, * na wengine ambao sukuwataja ni kwamba tuna wakumbuka na tunawapa heshima katika mchezo huu wa mpira wa kikapu....
Picha hii tumeitumia kwa niaba ya Timu zote za mpira wa kikapu na wale walio jitoa kuupemnda npira/ mchezo huu tuna wapa AHSANT...
No comments:
Post a Comment