Makabila ya Wasambaa, Wazigua na Wabondei ni ndugu wa Baba mmoja lakini wote ni wazawa wa mkoa mmoja kulikuwepo na hadidhi moja ya kiutani ambayo wakale wetu walikuwa wakitusimulia kuwa majina ya makabila haya yametokana na matukio yaliyo tokea zamazile kwamfano:-
WAZIGUA:- Walizichukua....baada ya mapambani makali baina ndugu hawa watatu yaani ZIGUA, BONDEI, SAMBAA Mzigua aliwasambaratisha Wasambaa, na kusababusha wabondei kukimbilia maeneo ya mabondeni lakini katika mkoa huohuo wa Tanga .Na wazigua hupatikana HANDENI.
BONDEI:- Kama nilivya sema awali yakuwa hii ilikuwa ni hadidhi za wazee wetu nafikili lengo lao lilikuwa ni kuwafunza watoto au vizazi hivi vya kisasa kuu tambua undugu wa karibu baina ya wanandugu hawa waniotolewa hadidhi hii ya kusisimua ambayo ilizaa jina hili kwa lugha ya kiswahili BONDEI yaani Bondeni wakaanza maisha yao maeneo hayo ya MUHEZA....
SAMBAA:- Niukweli usio fichika pia katika lugha ya kiswahili SAMBAA maanayake kutawanyika anu kutapakaa katika maeneo mengine.... basi ndugu huyo msa\mbaa alisambaa na na kwenda katika milima ya usambara huko RUSHOTO na niwakulima mashuhuri sana wa matunda na mazao mengineo
KWANINI BLOGGEL HII nimependa kiiita jina hili la BOSHAZI?
BOSHAZI maanayake ni BONDEI, SHAMBAA, ZIGUA, Kifupichake ni BOSHAZI na nimevitiwa na ndugu hawa watatu kwa maana mimi ni metokana na kabila moja kati ya haya matatu..
LENGO:- Lengo langu si kwamba kutaka kulizungumzia kuhusiana na wana hawa wa familia hawa bali ni kichocheo cha kukumbushia vijana wa kileo mambo mengi yaliyo jificha na huenda yakatoweka na kubaki kama histiria yakuwa yalikuwepo kwa hiyo uberishaji wa hii Blogger ni mwanzo wa kumfungua macho mtanzania katika utajili mkubwa tulio nao naomba niishie hapa
Asante sana!!!
ReplyDeletenaomba kama unafahamu historia ya wasambaaa eleza kwa kina, hapa umetoa ufupisho wa makabila ma3 lakin wengine hatujui asili yetu wapi
ReplyDeleteNi washamba sana ndo mana wakaitwa washambaa....ni wajeur na wadokozi...ukimpa amana mfatilie nyuma asijekuacha njiapanda
ReplyDeleteAsante kwa kuanzisha Jambo zuri sana, ushari wangu naomba uandike juu ya histiria za hawa BOSHAZI kwa undani nakila mmoja na chimbuko lake na mahusiano yaona tofauti zao. Hongera sana HONGEA SANA.
ReplyDeletedhana halijazi pengo la kweli
ReplyDeleteikiwa dhana ina uwezo magogo yange peperushwa mawe yange elea akili duni ya utoto huleta dhana ya kuegeza vinyago ,kuigiza mifano ili kuji tumbuiza nanyi pia jitumbuizeni mkijua urongo hauchukuwi pahala pa ukweli kibutu
ReplyDeleteAhsante kwa kujua hilo
ReplyDeleteNaomba elezea sifa za wazigua na wasambaa
ReplyDeleteLike it
ReplyDeleteHi karibu Fatina Habari
ReplyDeletemimi ni mjaluo kutoka kenya lakini nimepata rafiki mschana masambaa. sasa najaribu kusoma nijue kuhusu wasambaa eheheheh
ReplyDelete