| Ukarabati wa barabara nijambo linalo umiza sana vichwa viongozi wetu wa awamu ya kwanza, ya pili hadi ya nne | hii ni |
Viongozi wetu makini wakiwa wana umiza vichwa katika kulitatua tatizo au matatizo haya hivi sisi tuna wezaje kuwasaidia kusonga mbele kwenda kwenye maendeleo ni hili moja tuu kufanya kazi kwa bidii na kuhakikisa maendeleo ya haraka yanapatikana kiusahihi
Awamu zote zimejitahudi sana hivyo pale penye maendeleo nivema pakatupiwa RUPIA.......




