THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
JE UNAZIFAHAMU SHERIA ZA
UHAMIAJI
Kwakipindi kurefu tumekuwa tukiwaelimisha kuhusu masuala ya
kiuhamiaji siku hii yaleo ningependa kukuonyesha vitabu au kanuni zinazo tumika
tatika kumuongoza Afisa Uhamiaji, na zinazo mpa uwezo wa kutekeleza majukumu
yake nazo zinapatikana katika kitabu hiki ndani yake kuna mikusanyiko ya
misahafu hii ifuatayo:
THE IMMIGRATION ACT
(Principal Legislation)
Chapter 54 Revised Edition, 2002
AND
THE IMMIGRATION ACT
(Subsidiary Legislation)
Chapter 54 Revised Edition, 2002
Index to subsidiary Legulation
·
Katika
vitabi hivi kuna maelekezo yanayo elekeza kuhusiana na aina ya vibali
vinavyotolewa kwa wageni waingiao na kuishi
nchini,….
·
Maelekezo
ya mtu asiye hitajika nchini..(PI)…..
·
Aina
ya makosa kiuhamiaji……
·
Nini
maana ya sheria ya uhamiaji….
·
Uwezo
wa kumsamehe…(waziri)……
·
Maeneo
ya mipaka ya Tanzania yanao tambulika kisheria…
……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………..
THE TANZANIA CITIZENSHIP ACT
(Principal Legislation & Act)
Arrangement of sections
CHAPTER 357
·
Kitabu hukina husika san asana na masuala ya
Uraia
·
Utaona ninani
·
RAIA WA KUZALIWA…,
·
RAIA WA KURITHI….,
·
TAJINISI…..,
·
NINI MAANA YA KUOMBA URAIA NA HATUA ZAKE…..
·
NAMNA YA KUNYANGANYWA URAIA UA RAIA WA TANZANIA
ANAWEZA KUNYANG’ANYWA URAIA….
Aina za Fomu za kujazwa kuombea Uraia…..
…………………………………………………………………………………………………………………………………………………….
THE
TANZANIA PASSPORTS AND TRAVEL DOCUMENTS
ACT, 2002
Kipo kitabu
cha sheria kinacho onyesha aina zote za passport, nani anaestahili kupewa
Passport ya Tanzania nk.
Hizi ni aina
ya Passport za Tanzania:
Ordinary
Passports……………
Service
Passport……………..
Diplomatic
Passports…….
East African
Passport……..
An Emergency
Travel document………….
Certificate
of Identity……………
Geneva
Convention travel documents…………
Taratibu na
maelekezo ya utoaji wa passport Garama za malipo zinapatikana katika sheria
hizi au ndani ya kitabu huki………wito
” TISHIRIKIANENI KUPAMBANA NA UHAMIAJI HARAMU TANZANIA”
No comments:
Post a Comment