Mabaki ya kanisa-"Kyaka" |
alidai yakuwa sehemu ya Tanzania ni sehemu ya yanchi ya Uganda na si kwingine bali kwenye mto wa kagera yakuwa ndiyo mpaka baina ya nchi hizo mbili,
Majesi ya Tanzania yenye nidhami ya hali ya juu yalipambana kwa ari kubwa na kuirudisha sehemu ya Tanzania mikononi mwao pia majeshi hayo yalihakikisha Nduli hoyo kutoka katika ramani ya Afrika mashariki na yakati nikweli Nduli Iddi Amini dada alikimbilia Uarabuni hali hii ilitoa funzo kwa mataifa yote kuwa taifa lenye amani na upendo linauwezo wa kufanya maajabu likijipanga kimadhubuti kwani Watanzania walikuwa na kila sababu za kumpiga, Nia ya kumpiga walikuwa nayo, na hata uwezo wa kumpiga ulikuwepo......siliyake ulikuwa ni ushindi..
Daraja lenye Hostoria-Tz |
Barabara-Kyaka to Mtukura |
.....Barabara itokayo Bukoba hadi Mtukura kwa sasa ni salama imejengwa kwa kiwango cha lami biashara baina ya Tanzania na Uganda yaimarika na ishirikiano wa nchihizi mbili ni wadhati emungu ijalie Tanzania iwe na amani na Maendeleo Amin.
No comments:
Post a Comment